Posts

Showing posts from July, 2013

Branding toleo la kwanza

Image
Jipatie sasa sehemu hii ya kwanza ya kitabu hiki kwa Tsh. 10,000/= ndani yake utapata muongozo wa jinsi na namna ya kujibrand kuanzia maana ya Brand hadi jinsi ya kuanza kujibrand. Jinsi ya kulipia ili ukipate kwa njia ya email ni tuma kiasi cha shilingi 10,000 kwenda namba 0713 603 699, baada ya hapo tuma jina lako na email yako kwa njia ya meseji (sms) na utapokea ndani ya muda mfupi.  Vipengele vilivyomo ni  pamoja na Maana ya Branding Kazi za Branding Aina za Branding na Vitu vinavyotengeneza Brand yenye afya.

Jinsi ya kupata wazo la biashara

Watu wengi wamekuwa na shida ya kupata ama kutambua ni biashara gani inayofaa kufanya kulingana na kiasi cha pesa wanachokipata, na hili limekuwa janga kubwa idadi kubwa ya wafanyabiashara hujikuta wakianzisha biashara  zisizokuwa katika mzinguko wao wa maisha ya kawaida hivyo hujikuta wanafeli na kushindwa. Wazo la biashara sio kitu cha kumuomba mwenzako ili ufanikiwe, unaweza kumuomba mwenzako aliboreshe lakini sio akupe wewe wazo kwa sababu kila mtu huwa ananjia zake za kukamilisha ndoto zake, hivyo mipango yake na yako inatofautiana sana.  wazo la biashara yako unalo mwenyewe kichwani kwako ila unalipuuzia aidha kwa kuliona ni kubwa au hujiamini kulikamilisha. Baadhi ya mambo ambayo unayotakiwa kuyafatilia unapotaka kuanza biashara au unapotaka kutafuta wazo la biashara zingatia sana vitu vifuatavyo 1. Elewa maana ya Biashara Biashara ni mchezo wa kubadilishana bidhaa kwa mtindo wa pesa au kitu chochote kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine kukiwa na thaman...