Maelezo kuhusu darasa la ujasiriamali.
Kama nilivyowaarifu hapo awali kutakuwa na darasa la branding na ujasiriamali kwa watu wote wanaotegemea kuwa wafanyabiashara au wajasiriamali... nitatumia mtandao wa whatsapp kuendesha darasa hilo na litakuwa la mwezi mmoja kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami kupitia whatsapp Gharama za darasa itakuwa ni 25,000 kwa wiki 1 hivyo kwa mwezi 1 ni sawa na 100,000 unaruhisiwa kulipia kila wiki . Faida za darasa hili ni 1.utajitambua mwenyewe uko kundi gani kati ya mjasiriamali au mfanyabiashara. 2.Utakuwa na uwezo wa kuona fursa na kupata wazo sahihi. 3.Kutambua aina za washindani katika biashara yako, na wapi ni hatari zaidi. 4.Pia utapokea sababu nyingi zinazofelisha wafanyabiashara wengi. 5.utapata muongozo wa kuanzisha na kusimamia biashara yako. 6.utapata ushauri binafsi 7.utapata muda wa kuuliza maswali yanayokutatiza. 8.Utapata muongozo wa Branding katika biashara. 9.Utapata nafasi ya kufahamiana na kubadilishana changamoto na wajasiriamali wengine. 10.Kila ...