Brand ni kuhusu mtazamo, jinsi gani dunia itakuona na kukulinganisha na bidhaa au huduma unayotoa kwa jinsi unavyoongea,vaa.jitambulisha,jibu simu zako hadi kwenye nembo(logo), business card,tovuti na sehemu zote ambazo unafanya kwa ajili ya kuonekana.Karibu katika Blogu hii upate nafasi ya kuchangia,kuuliza na kuelimika kuhusu biashara,ujasiriamali na branding. Jina ni Elisha Chuma, Mshauri wa biashara,ujasiriamali na Branding. Karibu .