Posts

Tahadhari kwa wafanyabiashara na wajasiriamali

Taa ya hatari imeanza   kuwaka kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wa Tanzania Asilimia kubwa ya wafanyabiashara, ( wakubwa na wadogo) wanafanya biashara Kienyeji na kikubahatisha wanafanya biashara kama mchezo wa bahati nasibu kupata Kukosa   lakini siku sio nyingi mambo na hali itabadilika na kubadili mfumo wote wa kibiashara Hapa Tanzania. Kwa kuanza kwa sasa watanzaia wengi wanapata hamasa na hamu ya kuwa wafanyabiashara Au wajasiriamali kwa inspiration kutoka nchi za nje, kutoka kwa wajasiriamali wakubwa , kutoka Kutoka katika vitabu vya waandishi wa nje ambao huelezea hali ya biashara au ujasiriamali kwa Kiwango na uwezo wa sehemu walipo na kwa mjasiriamali   wa kawaida akisoma au kutumi mbinu zile Zinaweza msaidia sababu kwa kipindi hicho vitu alivyovisoma sehemu anakovitumia havijulikani hivyo Hata akikosea au kipatia hakuna atakaetambua,hiyo ndiyo hali iliyokuwepo kwa Tanzania ya zamani lakini Kwa sasa hali inabadilika tena sana . ...

Vitu vitano vinavyosimamia biashara yako

Biashara pia inavitu ambavyo kila mtu anatakiwa avifuatilie ili uweze kuimanage, biashara nyingi zinafeli   iwapo moja kati ya vitu hivyo vinapopungua au kukosekana hivyo basi kabla ya kuanzisha au kuanza biashara yako jiaminishe unaweza kusimamia vitu vifuatavyo. 1.Branding Branding ni muonekano wa biashara yako kwa mteja unaemkusudia, hii ikiwa inamaanisha lazima ujue mteja wako anataka akuonea katika hali gani ili akuamini , mteja wako unataka apate kitu gani kichwani mwake mara tu akiiona alama yako nakadhalika,kuijua elimu hii kutakusaidia sana katika uendeshaji wa biashara yako kwa sababu itakuwa ni rahisi kwako kujua saikolojia ya mteja wako na kuepusha kufanya yasiyo sawa katika biashara   na pia ukiiifahamu branding itakufundisha pia   njia za   kupambana na wateja na mbinu za kiushindani. 2.Masoko ( Marketing) Masoko ni sehemu ambayo inahitaji umakini mkubwa baada ya kufanya brand ya biashara yako kitu kinachofuata ni kutengeneza na kutafuta...

Makosa yanayofanywa na wanaotoa elimu ya ujasiriamali

Kuna kitu ambacho wananchi wanakuwa wanapotea bila kujua kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaohamasisha na kutoa elimu kuhusu ujasiriamali, Sio wote Watu hao wanawasaidia watu,lakini wanaruka sehemu kubwa ambayo inawaumiza sana Watu wanaoamua kutumia elimu yao kwa manufaa yao,mfano kuna wale wanaotoa elimu kuhusu Kutengeneza vitu kama sabuni,shampoo na vinginevyo,hao hutoa tangazo la kuwafundisha watu mbinu Za kuwa mjasiriamali, wao hufundisha namna ya kutengeneza hadi unaelewa halafu wanakuacha.hilo Ni kosa kubwa sana kwa wao kumfundisha mtu kutengeneza kitu kinachofanywa na makampuni makubwa kama kazi yao halafu ukamfundisha yeye kwa shilingi elfu 30, bila kujua atatoka hapo atatafuta fedha ya mtaji na mtaji wa kwanza unaweza kuwa ni 50,000 tu hapo ameshapigia hesabu akiuza anauhakika wa kutengeneza fedha nyingi halafu inakuwa tofauti. Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaoitwa walimu wa ujasiriamali   wanaofundisha mbinu za ujasiriamali siwapingi wala sikidhan...

Elimu inayokosekana

Elimu inayokosekana na inayowapoteza wengi katika maisha Katika mfumo wetu wa elimu kuna elimu muhimu inayokosekana   na hakuna sehemu ya kuipata hadi Ujitambue mwenyewe ambapo   elimu hiyo ni elimu ya kujitambua, Tatizo lililopo katika elimu yetu ni kwamba tunasoma kwa kufuata taratibu za watu fulani, mfumo wa elimu tunaotumia Ni wa mzungu , ili ujikomboe unatakiwa ujitambue, mzungu alileta elimu lakini haikuwa elimu ya kutufanya tujitegemee Elimu tunayoipata kwenye shule zetu kuanzia ngazi ya chekechea hadi ngazi ya sekondari ni elimu ya lugha na kusoma na kuandika, kama ni hivyo kwa nini basi tuendelee kupoteza muda wingi kusumbukia kusoma na kuandika?. Wanafunzi wanachukua hadi masomo 14 yote ayafanyie mtihani na anatakiwa kufaulu ni uwezo wa hali ya juu unaotumika kwa wanafunzi wanaofaulu, na hicho hakikuwa kizazi cha dot.com ambacho kila kitu wanafunzi wanatumia Mbadala wa google kutafuta.hata kufeli sana kwa wanafunzi wetu kumesababishwa na mabad...

Maana ya Branding kwa mfanyabiashara na Mjasiriamali

                                           Maana ya branding kwa mfanyabiashara Branding ni muonekano wa biashara yako kwa mteja unaemtarajia   kwa maana hiyo brand Inahusika na inanafasi kubwa katika ukuzaji wa biashara yako na   maendeleo yake kila   jina ni Brand lakini sio kila brand ni jina hivyo ili jina liwe brand linahitaji   vitu fulani fulani ili kuwa hivyo Mfano: Naseeb Abdul ni jina lakini Diamond ni brand. Ikiwa inamaana ya kwamba ili uwe na kitu au Uonekane katika kipengele au sehemu yako ya ushindani ni lazima uwe na brand na sio jina.Ukiwa kama mfanyabiashara ambaye unafanya biashara sio kwa majaribio brand ni lazima katika  biashara yako , Brand inatakiwa kuanza kutengenezwa tangia mwanzo wa biashara   ili kuipa nguv...

Matumizi ya blogu hii

Blogu hii ni kwa ajili ya kukuza na kuelimisha kuhusu biashara na ujasiliamali blogu hii inasimamiwa na kuendeshwa na Elisha Chuma mwenyewe . Kwa wenye maswali yoyote kuhusiana na biashara , ujasiliamali au kitu chochote ambacho kiko katika mzunguko wa branding,biashara na ujasiliamali unakaribishwa sana. Jinsi ya kushikiriki fungua user name yako na weka swali lako au maoni yako kwenye post itakayokuwepo juu au tuma swali lako kupitia elishachuma@gmail.com na nitalitoa na kuliandikia majibu yake haraka iwezekanavyo kulingana na idadi ya maswali. Asanteni sana na karibu katika ulimwengu wa kuelimishana Elisha Chuma

Tofauti kati ya mfanyabiashara na mjasiriamali (Jitambue)

Tofauti kati ya ujasiriamali na ufanyabiashara Ujasiriamali unaweza kuipata maana yake halisi kwenye Jina lenyewe ujasiriamali ( ujasiri kwenye mali) hivyo ili Kuwa mjasiriamali lazima uwe jasili na   mwenye uwezo Wa kukubali matatizo na changamoto, uwe tayari kupoteza Sasa hivi kwa ajili ya mafanikio ya baadae. Ukiwa mjasiriamali faida za muda mfupi kwako huwa sio za muhimu sana na lengo Kubwa huwa ni kufikia malengo uliyoyapanga na kukamilisha ulichokifikiria Watu wengi hujiona ni wajasiriamali kwa vile tu huwa na uwezo wa kutatua matatizo Ya biashara yake kwa kutumia njia nyingine . Mfano: utakuta mtu anafanya kazi ameamua kuanzisha biashara yake pembeni ya kazi Anayoifanya ambapo inafikia hatua anapata hasara au bashara hailipi kwa muda husika Anachoamua kufanya ni anachukua fedha kutoka sehemu anakofanyia kazi anaziba pengo Lililopo kisha anaendelea na biashara, huyu anaweza kujiona ni mjasiriamali lakini sio Huyu ni mfanyabiashara ....