UNAWEZAJE KUKUZA BRAND YAKO.

Mjali mteja wako
  • Tengeneza nafasi ndani ya kichwa cha mteja wako
  • Weka muhuri wa moto kwa mteja
  • Kuwa karibu sana na wateja wako wakubwa


Kutengeneza utambulisho wa kampuni
  • Kutoa msaada
  • Kuwekeza
  • Toa taarifa bure
  • Ongeza thamani ya biashara
  • Iweke brand yako nje ya boksi
  • Fanya mawasiliano ya mteja mmoja mmoja
  • Fanya udhamini wa maonyesho.

Vyombo vya habari
  • Vyombo vya ndani
  • Kutengeneza vipindi vya mahojiano
  • Udhamini
  • Maandishi ya kushukuru
  • Ofa maalum

Sehemu za ushindani
  • Blog,Website, Offline.

Tambua jumuiya
  • Tambua wateja kama ni biashara mpya tengeneza


Nembo .
  • Kuna nembo aina 3
  • Rangi ni muhimu
  • Aina ya soko
  • Nembo haitakiwi kuwa bize
  • Nembo huleta matokeo chanya iwapo itatumika vizuri
  • Nembo ni sehemu kwenye picha ya kampuni.

Utambuzi wa brand
  • Unatakiwa uanze ndani ya biashara kisha ndio ije kwa wateja na wapinzani
  • Muonekano wa juu juu wa biashara yako, ona unaona nini?
  • Ni nini umoja wako
  • Uwezo wa kustahimili ( Kukaa bila kubadilika)'

Ushindani
  • Fanya utafiti wa ushindani'
  • Ni kipi kinachokutofautisha

  • Kwanini wateja waje kwako.?

Comments

Popular posts from this blog

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Kwanini 40 ?

Umuhimu na maana ya Kipeperushi(Flyer) katika biashara yako.