Branding toleo la kwanza

Jipatie sasa sehemu hii ya kwanza ya kitabu hiki kwa Tsh. 10,000/=
ndani yake utapata muongozo wa jinsi na namna ya kujibrand kuanzia
maana ya Brand hadi jinsi ya kuanza kujibrand.

Jinsi ya kulipia ili ukipate kwa njia ya email ni tuma kiasi cha shilingi 10,000
kwenda namba 0713 603 699,baada ya hapo tuma jina lako na email yako kwa
njia ya meseji (sms) na utapokea ndani ya muda mfupi.

 Vipengele vilivyomo ni  pamoja na
Maana ya Branding
Kazi za Branding
Aina za Branding na
Vitu vinavyotengeneza Brand yenye afya.



Comments

Popular posts from this blog

Baadhi ya vitu vinavyosababisha biashara nyingi kufungwa.

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Aina za malengo na mipango