Posts

Showing posts from January, 2014

Tofauti za mipango katika biashara

 Katika biashara lazima kuwe na mipango ambayo itaisaidia biashara yako kusonga mbele, kila biashara imara lazima iwe na mipango ili kuifanya na kuisaidia kusonga mbele kwa wakati husika na baadae pia. Mipango hii ndio   msingi mkubwa wa kila biashara ,Mipango imegawanyika katika pande kuu mbili kuna mipango ya Muda mrefu na mipango ya muda mfupi, mipango ya muda mrefu ni ile ambayo inakuwa biashara   inafany ili iifikie , mipango ya muda mfupi ni ile mipango mifupi mifupi ya kusaidia biashara ifikie mipango ya muda mrefu bila kutoka nje ya muda mrefu Mipango ya muda mrefu ni ile ambayo Biashara inayaweka kwa ajili ya kuyafikia baada ya kipindi cha muda mrefu kuanzia miezi 12 nakuendelea. Mipango ya muda mfupi ni ile ambayo inakuwa ya muda mfupi inayotengenezwa kwa ajili ya kuifanikisha mipango ya muda mrefu bila kutoka nje ya lengo la mipango mirefu Mfano: unapofanya biashara unatakiwa uwe na malengo na maono hivyo hayo ndio malengo ya mbali ,lakini ili uyafikie ni la