Posts

Showing posts from November, 2015

Aina za Brand

1.      Brand kama bidhaa Hufanya kazi ya ubora na thamani ya brand. Katika mkusanyiko wa matangazo ya bidhaa nyingi, mtumiaji huhitaji kujua jinsi ya kuchagua bidhaa moja juu ya nyingine, hivyo kwa kulinganisha udhania wake pale anapoamua kufanya hivyo huwa hana muda mwingi wa kulinganisha ,huamua kuchagua bidhaa ambayo inakidhi haja zake kutokana na brand. 2.      Brand kama mfumo/kampuni Hutengeneza muonekano chanya wa brand na huonyesha nyuma ya brand kuna mfumo Uwezo wa ushawishi wa kampuni hufanya bidhaa kuongeza thamani 3.      Brand kama mtu Hii hujishughulisha na uhusiano na wateja , hutengeneza kukutana kati ya mtu na brand Ni ngumu kuongeza soko kama hakuna mahusiano mazuri na wateja wako. 4.      Brand kama alama Hutoa muendelezo wa utambulisho wa brand Brand inayochukua akili yako hupata tabia , na brand inayochukua moyo wako hupata kujiapiza kwanzo.