Posts

Showing posts from September, 2019

Elisha Chuma : Kujiamini

Image
Je wewe unajiamini,unatambua faida  za kujiamini na hasara za kutokujiamini hebu pitia somo hili ujione uko sehemu gani. Kujiamini naweza kusema ni uwezo wa kuwa na uthubutu juu ya mambo pasipo kuwa na hofu wala uoga bila kutegemea msukumo kutoka nje. Kujiamini sio kitu cha kufanyiwa na mtu mwingine ila ni maamuzi binafsi ambayo yana hatua zake ukitaka kuyafikia ili ufikie hatua ya kujiamini vitu vinavyochangia ama vinavyoweka chachu na hamasa ya wewe kujiamini ni pamoja na     1. Kujitambua    2. Maamuzi binafsi    3. Imani yako    4. Uelewa    5. Makuzi na   6. Mazingira  Hivyo ndio vitu ambavyo unapofikiria kujiamini vinakupa chachu na hamasa wewe kufanya jambo bila msukumo wa nje bali msukumo wa ndani yako mwenyewe. Vitu vinavyoweza kukusaidia kujiamini katika maisha yako. 1. Jifunze kujithamini ( usijione huna thamani hata siku moja) 2. Jisamehe na kuwa mkweli kwa nafsi yako mwenyewe 3. Jilinde na pambana na hofu yako (Kisaikolojia) 4. Fanya vi