Posts

Showing posts from March, 2015

Muongozo wa kuanzisha biashara

Biashara imekuwa ni ndoto ya watu wengi wake kwa waume,vijana kwa wazee na katika mizunguko zunguko yangu nikaona leo ngoja niongelee hili suala ambalo linabeba ndoto za watu wengi,mafanikio na ajira za watu wengi. Kwanza kitu cha kwanza ambacho unatakiwa ukitambue ni kwamba mafanikio au kufeli kwa biashara yako kunategemeana sana na vitu vifuatavyo Ujuzi wa kazi Hamasa Nguvu  Maono na Uwezo wa mfanyabiashara au mjasiriamali huyo. Hivyo kwa kuanza tu leo nitakupa vitu vitakavyokupeleka katika mafanikio ya biashara yako tangu inapoanza hadi ukuaji wake. Tambua uwezo wako unapoamua kuanzisha biashara shirikisha na upendo ulionao kwenye hiyo kazi na mvuto ulionao kweye biashara hiyo Fikiria kupitia biashara yako unaisaidia dunia Siku zote fikiria kuhusu mteja wako sababu biashara yako ni kuhusu wateja wako Tambua kwamba biashara ni utatuzi wa matatizo ya wateja Hakikisha unambinu zilizokamilika Hayo ni mambo makuu ambayo ukiyatambua unapoanzisha biashara basi bia