Vitu vinavyofanya Brand ya kawaida kuwa brand kubwa na bora

Vitu vinavyofanya brand ya kawaida kuwa brand kubwa na bora

  1. WAZO
Nyuma ya kila brand nzuri lazima kuna mawazo mazuri ambayo hutumika kukamata hisia za wateja na mawazo kwa kuhisi shida zao zitamalizwa hapo

  1. UPEKEE
Inatakiwa ikutofautishe na brand nyingine kwenye sekta hiyo

  1. MVUTO
Brand inatakiwa kuwa na mvuto kwa watu kuanzia nembo zake hadi kutamkwa kwake.Brand bora huhakikisha wateja wake wanaelewa ahadi zake na kuvutiwa nazo.

  1. UWAJIBIKAJI
Wateja wanahitaji  kuamini na kuziona ahadi zilizowekwa zinatendeka kama ilivyopangwa na zinawafikia kwa muda sahihi.

  1. UIMARA
Wateja huhitaji kuhudumiwa na brand iliyo imara ambayo haitalegalega kipindi watakoihitaji.

  1. MAWAZO YA MUDA MREFU
Mawazo ya muda mrefu huisaidia brand kujiimarisha na kujipanga vizuri kw a ajili ya kufahamika na kuwatembelea wateja wake duniani

  1. UHALISIA
Brand bora inatakiwa kuonyesha uhalisia , na inatakiwa kufikia kile ambacho watu wanataka , inafanya kazi jinsi ambavyo waanataka .

Comments

Popular posts from this blog

Baadhi ya vitu vinavyosababisha biashara nyingi kufungwa.

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Aina za malengo na mipango