Aina za Brand
1.
Brand kama bidhaa
Hufanya
kazi ya ubora na thamani ya brand.
Katika
mkusanyiko wa matangazo ya bidhaa nyingi, mtumiaji huhitaji kujua jinsi ya
kuchagua bidhaa moja juu ya nyingine, hivyo kwa kulinganisha udhania wake pale
anapoamua kufanya hivyo huwa hana muda mwingi wa kulinganisha ,huamua kuchagua
bidhaa ambayo inakidhi haja zake kutokana na brand.
2.
Brand kama mfumo/kampuni
Hutengeneza
muonekano chanya wa brand na huonyesha nyuma ya brand kuna mfumo
Uwezo
wa ushawishi wa kampuni hufanya bidhaa kuongeza thamani
3.
Brand kama mtu
Hii
hujishughulisha na uhusiano na wateja , hutengeneza kukutana kati ya mtu na
brand
Ni
ngumu kuongeza soko kama hakuna mahusiano mazuri na wateja wako.
4.
Brand kama alama
Hutoa
muendelezo wa utambulisho wa brand
Brand
inayochukua akili yako hupata tabia , na brand inayochukua moyo wako hupata
kujiapiza kwanzo.
Comments
Post a Comment