TAMBUA : BIASHARA NI RAHISI KUIFANYA KWA KUFIKIRI ZAIDI YA UHALISIA WAKE


Wapo watu wengi waliofeli kwa changamoto ya kuifanya biashara kwa kichwa zaidi ya uhalisia wake, yako mambo mengi ya kufahamu kuhusu biashara lakini la kwanza katika yote ni kutambua uhalisia wa biashara kwa kuwa na taarifa sahihi na sio maelelzo ya kufikirika.

UTAFELI VIBAYA kwa kutegemea taarifa za kufikirika.

Niambie ulijaribu biashara gani kwa kufikiri na uhalisia wake ukakukataa?

Ikiwa unahitaji ushauri ama usimamizi bora wa biashara yako wasiliana nami sasa : 0745 108010

——————————-
Mahusiano ndio msingi mama wa mafanikio yetu kila linalofanyika liko chini ya kiwango sahihi cha mahusiano, unaifahamu Saikolojia ya Mahusiano?, Kama bado tayari nimekuandikia kitabu ambacho kitakuongoza kujenga ufahamu chanya wa nini maana na saikolojia ya mahusiano kwako na kizazi chako. Jipatie leo nakala yako kwa Tshs 20,000/= nakala ngumu na Tshs. 25000/= nakala ya sauti.

Kukipata wasiliana nami leo 
0745108010

#echumaarifa #ujasiriamali #maisha #daressalaam #elishachuma



Comments

Popular posts from this blog

Baadhi ya vitu vinavyosababisha biashara nyingi kufungwa.

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Aina za malengo na mipango