Semina
Elisha Chuma ameandaa mpango kabambe wa ushauri wa
biashara kwa wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa na wale
wanaotaka kuanzisha biashara ili kuwawezesha kuwa wafanyabiashara wakubwa na
wenye mafanikio. Mtu atakakayejiunga na mpango huu atapewa mbinu za hali ya juu
za biashara na uwekezaji ambazo zitamuwezesha kuinuka kiuchumi na kuwa
mfanyabiashara mkubwa kwa haraka. Mtu yeyote anaweza kujiunga na mpango huu
ambao mkataba wake utakuwa ni wa mwaka mmoja mmoja ambao unaweza kurudiwa
tena.Kwa nini Elisha? Elimu ya biashara anayoitoa haipatikani sana hapa nchini
japo mfumo wake wengi wanautumia. Kitabu chake cha Siri za kushinda katika
biashara kupitia branding, kimewainua wajasiriamali wengi .
Manufaa ya kujiunga
na mpango huu;
Utapewa mbinu za
hali ya juu za biashara na uwekezaji ambazo zitakuwezesha kuinuka kiuchumi na
kuwa mfanyabiashara mkubwa kwa haraka.
Utajiunga na mafunzo
maalum ya ujasiriamali kwa email kipindi chote utakachokuwa umelipia michango.
Utapata ushauri kwa
kipindi cha mwaka mmoja bila kulipia gharama yoyote na unaweza kumpigia simu
mshauri wakati wowote na kupatiwa ushauri.
Utapata ushauri wa
kisaikolojia na matatizo ya mahusiano na maisha yanayokukabili.
Gharama ya mpango
huu ni Sh. 50,000.00 Elfu Hamsini tu kwa Mwaka, Malipo yake sio lazima kwa
pamoja unaweza kulipa kwa awamu pia. Ili
kuomba kujiunga na mpango huu piga simu namba 0684 047323,0767 603699 au tuma email
elishachuma@gmail.com
Nimeamua kutoa bei
ndogo kutokana na maombi ya wadau wengi
kuutaka mpango huu kwa gharama ambazo wanaweza kuzimudu.
Elisha Chuma
MSHAURI WA BIASHARA
Nimepokea maswali ya wajasiriamali na wafanyabiashara wanaohitaji kujua semina hii itaanza lini,na utaratibu wa malipo utakuwaje
ReplyDeleteSemina itaanza rasmi : 1/3/2014
lakini haitakuwa na shida hata kwa uliyechelewa ukijiunga utatumiwa mada zilizopita na maelezo ya wenzako walipofikia.
Utaratibu wa malipo ni unatuma pesa kupitia simu ya mkononi kwenda namba 0684 047323 na ile namba ya muamala utakayopewa utaituma tena kwenda namba hiyo hiyo pamoja na email yako kisha utapokea meseji yenye id yako kwa ujumbe wa meseji pamoja na email hapo tayari utakuwa umeunganishwa na huduma hii.
Asanteni na karibuni sana