Maelezo kuhusu darasa la ujasiriamali.

Kama nilivyowaarifu hapo awali kutakuwa na darasa la branding na ujasiriamali kwa  watu wote wanaotegemea kuwa wafanyabiashara au wajasiriamali... nitatumia mtandao wa whatsapp kuendesha darasa hilo na litakuwa la mwezi mmoja kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami kupitia whatsapp

Gharama za darasa itakuwa ni 25,000 kwa wiki 1 hivyo  kwa mwezi 1 ni sawa na 100,000 unaruhisiwa kulipia kila wiki .

Faida za darasa hili ni
1.utajitambua mwenyewe uko kundi gani kati ya mjasiriamali au mfanyabiashara.
2.Utakuwa na uwezo wa kuona fursa na kupata wazo sahihi.
3.Kutambua aina za washindani katika biashara yako, na wapi ni hatari zaidi.
4.Pia utapokea sababu nyingi zinazofelisha wafanyabiashara wengi.
5.utapata muongozo wa kuanzisha na kusimamia biashara yako.
6.utapata ushauri binafsi
7.utapata muda wa kuuliza maswali yanayokutatiza.
8.Utapata muongozo wa Branding katika biashara.
9.Utapata nafasi ya kufahamiana na kubadilishana changamoto na wajasiriamali wengine.
10.Kila mshiriki atakuwa na email address ambayo ataitumia kupokea majibu ya maswali binafsi.
11 . Utapata mbinu za kufungua na kusimamia biashara bila kuwa na mtaji pesa.
12.Mwisho wa darasa kila mwanachama atapokea document yenye masomo yote.Kwa ajili ya kujisomea na kupitia.

ELIMU YA BRANDING HAIPOTEI WALA HAIPUNGUI THAMANI SABABU IPO HATA KWENYE MAISHA YETU YA KAWAIDA.

Kujiandikisha tafadhali tuma sms ya kuomba kuandikishwa iandikwe "darasa ujasiriamali 2016" kwenda namba 0713603699 na utapokea maelekezo zaidi.Asante.

Comments

  1. nimeulizwa kwa nn kiwango kinaonekana kiko juu ,

    Ni kweli nimeamua kufanya hivyo ili nipate watu ambao wanania kweli na wanahitaji elimu ambao ntakuwa na uhakika hata baada ya darasa naweza nikamsimamia kuanzisha kitu kikasimama.

    Nimekuwa na madarasa ya bure,ya 10,000 lakini watu wanakuja wengi lakini hakuna mwenye uthubutu mwisho wanapotea.Inaumiza sababu nakuwa najitolea halafu watu wanafanya ni kawaida.

    Kinachowapoteza wafanyabiashara wengi hakuna ma mentor wa kusimamia biashara zao wanafanya wanavyohisi wao.ndio maana sasa nahitaji mtu makini ambae naimani hadi darasa liishe atakuwa tayari amepata mwamko wa kujiajiri au kuanzisha biashara kwa njia sahihi na mwisho wa mwaka biashara yake iwe sehemu fulani hyo ndio furaha ya kila mwalimu.Karibu mkuu kuna vingi vya muhimu na msingi vyenye thamani zaidi ya 100,000 ukikosea kuanzisha biashara utapoteza muda,mali,pesa na nguvu kazi ambayo unaweza kuikoa kwa hii ada.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Baadhi ya vitu vinavyosababisha biashara nyingi kufungwa.

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Aina za malengo na mipango