Taarifa kwa Wasomaji wa blogu hii

Habari njema kwa wote mliokuwa mkifuatilia makala na matoleo yangu kuhusu ujasiriamali kupitia,blogu,kundi la whatsapp na  facebook.baada ya kuwa kimya kwa muda kidogo sasa nitaendelea tena kutoa makala na machapisho kupitia blogu yetu ya www.elishachuma.blogspot.com kuanzia mwezi wa pili , na pia natarajia kuanzisha darasa la branding na ujasiriamali kwa wafanyakazi na wale wanaotegemea kuwa wafanyabiashara au wajasiriamali... nitatumia mtandao wa whatsapp kuendesha darasa hilo na litakuwa la mwezi mmoja kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami kupitia whatsapp number 0713603699.

Branding ni kubwa sana kwa muonekano na kufikirika lakini ukiijua vizuri unaweza kubrand biashara yako katika hatua yoyote na ukafanikiwa,Karibu.

Comments

Popular posts from this blog

Baadhi ya vitu vinavyosababisha biashara nyingi kufungwa.

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Aina za malengo na mipango