TANGAZA NASI

Elishachuma.blogspot inakualika wewe mjasiriamali / mfanyabiashara kutangaza kupitia blogu yake,blogu hii inayotumika kutoa elimu ya Branding biashara na ujasiriamali, fikia watu wengi zaidi na panua biashara yako. ujulikane mbali na zaidi ya hapo ulipo kwa muda mfupi.

Bei ya matangazo yetu yanatofautiana bei kulingana na ukubwa wa tangazo i.e Banner size. Tangazo kubwa ambalo linakaa juu (970 x 260) ni shilingi 150,000 kwa mwezi, Tangazo la pembeni dogo (300x 250) ni shilingi 50,000/=.

Ukiingia mkataba nasi kuanzia miezi sita (Six Month) unapata Offer ya kutangaza kwa miezi mitatu bure. Pia tunatoa huduma za graphic designing, banner za website/blogs ni Shilingi elfu ishirini
(20,000/=)
 
 
Jinsi ya kupata huduma hii ni tuma unatuma kiasi cha pesa kwa namba ( hapo chini ) kisha namba ya muamala utakayopokea itume kwa sms kawaida kurudi kwenye namba ambayo umetumia kutuma fedha zako, baada ya hapo utapigiwa simu kupewa maelekezo ya jinsi ya kutuma tangazo lako maalum kwa ajili ya kuliweka katika blogu.

namba za kutuma ni 
 Airtel: 0684 047323


Comments

Popular posts from this blog

Baadhi ya vitu vinavyosababisha biashara nyingi kufungwa.

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Aina za malengo na mipango