HUDUMA ZETU

Elisha Chuma

Shughuli ninazozifanya ni pamoja na kuelimisha kuhusu branding,Biashara na ujasiriamali kwa ujumla,

Pia ninatengeneza muongozo wa biashara kwa upande wa mbinu za kupambana na washindani, aina za washindani wako, jinsi gani utawashinda, mpangilio wa kufuata ili biashara yako iwe na mafanikio na ushauri wa kibiashara.

Karibu kwa ushauri na maendeleo ya biashara yako,kwa walioko mikoani pia kuna utaratibu wa kuwafikia tafadhali tumia njia za mawasiliano hapa chini.

Mawasiliano:

elishachuma@gmail.com
0713 603 699

Comments

Popular posts from this blog

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Umuhimu na maana ya Kipeperushi(Flyer) katika biashara yako.

Kabla ya kuanza kufanya marketing jiulize maswali yafuatayo