MATANGAZO

Utaratibu na Majibu (Semina)

Habari tena karibuni katika uwanja wa maelekezo kuhusiana na semina za online za Elisha Chuma.

Kutakuwa na semina za ujasiriamali na biashara kila tarehe 15 ya mwezi na zitakuwa zinaenda kwa siku 10 tu, yaani kuanzia tarehe 15 hadi tarehe 15 ya kila mwezi.Semina hizi zitahusisha masomo yanayomsaidia mfanyabiashara ama mjasiriamali ama yule ambae anafikiria kuingia kufanya kwa weledi zaidi.

Mafunzo haya yatafanyika kwa njia ya whatsapp na malipo yake ni Tshs. 10,000/= kwa siku zote 10,utafundishwa lakini pia utapata nafasi ya kuuliza maswali kuhusiana na kile ambacho unakiamini ama swali kuhusu lile ambalo hujalielewa na utajibiwa.

kuhusu kufahamu mada za mwezi husika wasiliana na namba itakayotolewa hapo chini ama pitia kurasa za mitandao ya kijamii kupata updates za kile ambacho kitafundishwa.

Jinsi ya kujiunga utatuma fedha  yako kwenda namba 0684047323 na kisha ukishapokea ile meseji yenye namba ya muamala unaituma kwa whatsapp kwenda namba hiyo hiyo utaunganishwa na kuwa tayari kwa ajili ya kuanza darasa.

kwa mawasiliano zaidi:
Whatsapp tu : 0684047323.

Comments

Popular posts from this blog

Baadhi ya vitu vinavyosababisha biashara nyingi kufungwa.

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Aina za malengo na mipango