Tambua maana halisi ya fedha

Dhana ya  fedha haiko katika ile karatasi unayoishika yenye namba za thamani yake.

Fedha yoyote unapoikea unaenda kuitumia hata kama sio moja kwa moja lakini wewe ni mwakilishi tu wa hilo karatasi ndio maana hazina mwenyewe unaishika wewe unaitoa anaishika mwimgine.

Kama lile karatasi sio fedha basi fedha halisi iko wapi?...Fedha halisi iko kichwani mwako unapoifikiria na kuishughulikia hadi kuifanikisha hapo ndio unakuwa unafedha ila ukiisha kuishika tu wewe inakuwa sio ya kwako bali mtu mwingine ndio anakuwa anaiwazia na kuishughulikia aipate.

Hivyo hakikisha kichwani mwako unatengeneza pesa nyingi bila kuchoka na jitahidi pia kuzishughulikia ukishazipata tu achana na zilizoingia sababu hata ufanyeje dhima ya pesa ni matumizi hivyo utaitumia tu.Ili kuwa katika sehemu nzuri kila siku tengeneza pesa akilini mwako.

Ungana nami kwa dondoo na ushauri zaidi kuhusu ujasiriamali na biashara

Jumatatu - Ijumaa saa 12:45ash - 1:00asubuhi (Maisha mseto) Redio Times fm 100.5

Kila Alhamisi saa 5:30asubuhi  - 6:00mchana (Hatua 3)Redio Times Fm.

2017 #maishanihayahaya wa kubadilika ni wewe.

Comments

Popular posts from this blog

Baadhi ya vitu vinavyosababisha biashara nyingi kufungwa.

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Aina za malengo na mipango