Tunza muda

Tunza sana muda wako, usiutumie muda wako kwa mazoea.

Kwenye maisha pesa unaweza kuzitafuta na ukazipata lakini muda ukipita haujirudii tena kila sekunde, kama unafikiria kuwa na mafanikio hebu jiangalie unatumia muda kiasi gani kwa ajili ya uzalishaji katika siku yako.

Anza upya badilika sasa...Jali muda

#2017 #maishanihayahaya  wakubadilika ni wewe.

Comments

Popular posts from this blog

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Umuhimu na maana ya Kipeperushi(Flyer) katika biashara yako.

Kabla ya kuanza kufanya marketing jiulize maswali yafuatayo