NENO LA LEO : USIOGOPE




Usiogope usinung'unie aliekuchagua bado hajachoka haijalishi uko kwenye hali ama hatua gani amesema yuko pamoja nawe,usijione peke yako katika hali yako lakini la msingi ni USIOGOPE KWA SABABU YA HAO.jitathmini leo kinachokuogopesha na kukurudisha nyuma kina nguvu kuliko neno lililosema Usiogope.

Haijalishi kikwazo chako usiogope songa mbele,Bwana yu pamoja nawe.AMKA simama endelea na safari ushindi ni wako ila tu usikate tamaa na kurudi nyuma.Uwe na Jumapili njema.

Comments

Popular posts from this blog

Baadhi ya vitu vinavyosababisha biashara nyingi kufungwa.

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Aina za malengo na mipango