UNAWEZAJE KUKUZA BRAND YAKO.
Mjali mteja wako
- Tengeneza nafasi ndani ya kichwa cha mteja wako
- Weka muhuri wa moto kwa mteja
- Kuwa karibu sana na wateja wako wakubwa
Kutengeneza
utambulisho wa kampuni
- Kutoa msaada
- Kuwekeza
- Toa taarifa bure
- Ongeza thamani ya biashara
- Iweke brand yako nje ya boksi
- Fanya mawasiliano ya mteja mmoja mmoja
- Fanya udhamini wa maonyesho.
Vyombo vya habari
- Vyombo vya ndani
- Kutengeneza vipindi vya mahojiano
- Udhamini
- Maandishi ya kushukuru
- Ofa maalum
Sehemu za ushindani
- Blog,Website, Offline.
Tambua jumuiya
- Tambua wateja kama ni biashara mpya tengeneza
Nembo .
- Kuna nembo aina 3
- Rangi ni muhimu
- Aina ya soko
- Nembo haitakiwi kuwa bize
- Nembo huleta matokeo chanya iwapo itatumika vizuri
- Nembo ni sehemu kwenye picha ya kampuni.
Utambuzi wa brand
- Unatakiwa uanze ndani ya biashara kisha ndio ije kwa wateja na wapinzani
- Muonekano wa juu juu wa biashara yako, ona unaona nini?
- Ni nini umoja wako
- Uwezo wa kustahimili ( Kukaa bila kubadilika)'
Ushindani
- Fanya utafiti wa ushindani'
- Ni kipi kinachokutofautisha
- Kwanini wateja waje kwako.?
Comments
Post a Comment