Kazi za branding
Brand hutambulisha muonekano ,ubora wa kuaminika kwa watu, huku bidhaa za generic
(kawaida) hazijulikani na haziaminiki ,hata hivyo brand ni ghali na
inahitaji mipango ya muda mrefu
Brand
hutofautisha bidhaa na hufanya bidhaa kutambulika mapema
Brand
inaruhusu mtumiaji kutengeneza maamuzi na matumizi ya bidhaa
Brand
hutengeneza thamani halisi kwenye macho ya washirika wa kibiashara na hupenyeza
thamani ndani ya macho ya mtumiaji
Branding
hutengeneza trademark ambayo huongeza thamani ya bidhaa.
Ungana nami zaidi kupitia ukurasa wangu wa facebook : Elisha
Chuma ("like" ukurasa huu na utapata habari zote na machapisho
mara tuu ninapotoa.) Asante
Comments
Post a Comment