Vitu vinavyoenda sambamba katika brand


Kuna vitu vitatu ambayo hutumika sambamba  ili kutengeneza brand yenye afya

1.     Logo - Nembo
Nembo  ni alama maalum ya kwako peke yako inayokutambulisha sokoni na alama hiyo ndio
Itakuwa inasimama kwa niaba ya kampuni yako

2.     Branding- kulijengea jina utambulisho
Branding ni kutengeneza uaminifu na ahadi ya bidhaa yako kwenye akili ya mteja unaemtegemea
Ambapo brand huunganishwa na bidhaa kwa mteja .


3.     Identity - utambulisho ( marketing,advertising,publication,sales)
Hii inamaanisha aina ya utambulisho utakaotumia kujitambulisha, unaweza kujitambulisha kama expert
Kujitambulisha kama mzoefu kujitambulisha kwa aina ambayo wewe itakupa ahueni na upenyo kwenye soko ulilopo.

4.     Kutokubadilika
Moja ya vitu ambavyo vinatakiwa viangaliwe kwa umakini moja wapo ni kutokubadilika, brand inatengenezwa na utofauti wako katika eneo lako la ushindani hivyo kubadilika badilika ni kupotea uhalisia na uwezo wako wa ushindani kama biashara unatakiwa kutokubadilika ili kusimamia brand na ahadi uliyoiweka kwa wateja na wateja watarajiwa.

Comments

Popular posts from this blog

Baadhi ya vitu vinavyosababisha biashara nyingi kufungwa.

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Aina za malengo na mipango