Utangulizi elimu ya Branding

Habari za Jumatatu tena wana Branding, kwanza niwashukuru wote ambao mmekuwa mkinitafuta na kuulizia machapisho yangu mengine na kuomba semina mbalimbali inatia moyo zaidi kuona kama kazi ninayoifanya inaleta mafanikio katika soko kwa njia moja au nyingine, na baada ya kuwa kimya kwa kipindi kidogo sasa nitaendelea na kutoa machapisho na baada ya kuangalia kwa kipindi kirefu kuhusiana na Biashara na ujasiriamali bila kugusia kabisa elimu ya Branding ambayo ndiyo mzizi na kiini cha blogu hii.

Kuanzia leo nitaanza mfululiza ma machapisho kuhusiana na elimu ya Branding kwa watu wote ambapo sasa ndipo tutapata kiini cha mafanikio na uendeshaji wa biashara kwa kila mfanyabiashara awe mjasiriamali au awe mjasiriamali, nitakuwa nikiweka machapisho hapa na pia kwa email kwa wale ambao watakuwa wamejisajili katika email pia kwa Facebook kwa wale walio like page yangu ( Elisha chuma) .

Asanteni sana na kaeni mkao wa kula


Comments

Popular posts from this blog

Baadhi ya vitu vinavyosababisha biashara nyingi kufungwa.

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Aina za malengo na mipango