Utaratibu na Majibu (Semina)

Nimepokea maswali mengi na maoni mengi kuhusiana na utaratibu wa kulipia na kuipata semina hii na kutokana na sababu hizo muda wa kuanza semina umesogezwa mbele

Semina itaanza rasmi : 15/3/2014
lakini haitakuwa na shida hata kwa uliyechelewa ukijiunga utatumiwa mada zilizopita na maelezo ya wenzako walipofikia.


Utaratibu wa malipo ni unatuma pesa kupitia simu ya mkononi kwenda namba 0684 047323 au 0767603699 na ile namba ya muamala utakayopewa utaituma tena kwenda namba hiyo hiyo pamoja na email yako kisha utapokea meseji yenye utambulisho wako  kwa ujumbe wa meseji pamoja na email hapo tayari utakuwa umeunganishwa na huduma hii.


Tafadhali jiunge mapema ili tuanze pamoja semina hii ya masomo muhimu kwa ajili yako na biashara yako.kwani unapochelewa utapokea tu mrejesho wa somo ila hautapata wasaa mzuri wa kulielewa somo.

Kwa maswali na maelekezo zaidi tafadhali wasiliana nami kwa namba tajwa hapo juu.









Asanteni na karibuni sana

Comments

Popular posts from this blog

Baadhi ya vitu vinavyosababisha biashara nyingi kufungwa.

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Aina za malengo na mipango