Matumizi ya blogu hii

Blogu hii ni kwa ajili ya kukuza na kuelimisha kuhusu biashara na ujasiliamali
blogu hii inasimamiwa na kuendeshwa na Elisha Chuma mwenyewe .

Kwa wenye maswali yoyote kuhusiana na biashara , ujasiliamali au kitu chochote ambacho kiko katika mzunguko wa branding,biashara na ujasiliamali unakaribishwa sana.

Jinsi ya kushikiriki
fungua user name yako na weka swali lako au maoni yako kwenye post itakayokuwepo juu au tuma swali lako kupitia elishachuma@gmail.com na nitalitoa na kuliandikia majibu yake haraka iwezekanavyo kulingana na idadi ya maswali.

Asanteni sana na karibu katika ulimwengu wa kuelimishana

Elisha Chuma

Comments

Popular posts from this blog

Baadhi ya vitu vinavyosababisha biashara nyingi kufungwa.

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Aina za malengo na mipango