Vitu vya kuzingatia unapofanya Branding
Kuna vitu vitatu
ambayo hutumika sambamba ili kutengeneza 244 yenye afya
- Logo - Nembo
Nembo ni alama maalum ya kwako peke yako
inayokutambulisha sokoni na alama hiyo ndio
Itakuwa
inasimama kwa niaba ya kampuni yako
- Branding- kulijengea jina utambulisho
Branding
ni kutengeneza uaminifu na ahadi ya bidhaa yako kwenye akili ya mteja
unaemtegemea
Ambapo
brand huunganishwa na bidhaa kwa mteja .
- Identity - utambulisho ( marketing,advertising,publication,sales)
Hii
inamaanisha aina ya utambulisho utakaotumia kujitambulisha, unaweza
kujitambulisha kama expert
Kujitambulisha
kama mzoefu kujitambulisha kwa aina ambayo wewe itakupa ahueni na upenyo kwenye
soko ulilopo
Comments
Post a Comment