Kuongeza uelewa

Habari za Jumatatu baada ya kutoa maelezo ya njia na baadhi ya hatua  za kufanya katika biashara wiki hii nitakuwa ninapokea maswali kuhusiana na mada zangu nilizoandika hapo awali kama kuna sehemu umepata utata unaruhusiwa kuuliza kwa kutumia comment chini ya huu uzi au kwa kutuma email moja kwa moja kwangu kupitia elishachuma@gmail.com.Huduma hii itakuwa ni ya wiki 1 ( siku 7)




Comments

Popular posts from this blog

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Umuhimu na maana ya Kipeperushi(Flyer) katika biashara yako.

Kabla ya kuanza kufanya marketing jiulize maswali yafuatayo