Semina ya Mafanikio

Hatimaye siku imefikia,leo ndio mwanzo wa semina yetu inayoanza leo na kuendelea hadi mwaka mzima (miezi 12) baadhi ya mada zitakazofundishwa kwa undani ni pamoja na
                                   
  1. Kujitambua
  2. Jinsi ya kupata wazo la biashara
  3. Mawazo 100 ya biashara
  4. Mpango mkakati wa biashara yako
  5. Vitu unavyotakiwa kuvifanya unapokuwa mjasiriamali au mfanyabiashara.
  6. Nguzo kuu 5 za biashara na mafanikio yako
Na mengine mengi.

Karibu sana kwa ajili ya semina hii ya mafanikio kwako na biashara yako, bado unaweza kujiunga na kuendelea na semina hii,semina sio ya mkoa au sehemu moja au nchi hii ni kwa wote wanaotumia mtandao kote nchini na hata nje ya nchi ukijiunga na semina hii utapokea makala za Elisha Chuma na mafunzo maalum kwa njia ya email na ukiwa na ukiwa na tatizo au swali unaweza kunitafuta kwa simu au email na nitakujibu haraka iwezekanavyo.

Leo tunaanza na mafunzo ya kujitambua mwenyewe kama unachokifanya kinaendana na wewe au unafanya bila kujitambua ilimradi unaona kuna faida, unaweza kupata faida na kitu kisichokuwa cha kwako lakini hautafanikiwa kama unachokifanya hakiendani na wewe, na wengi wakiona wanafeli huhisi labda hawana mkono wa biashara, sio wajasiriamali na mawazo mengine kama hayo, bila kujitambua unaweza kuwa unasubiria meli uwanja wa ndege, inaweza kupita sababu viwanja vingi vya ndege viko karibu na maji lakini haitasimama na viwanja vingine haviko karibu na maji hapo hata kuiona hautaiona utaishia kusubiri tu,maana yake na mengine mengi jiunge sasa  kwa gharama ya Tshs. 50,000/= kwa (Miezi 12) ambapo pia unaweza kuyafanya malipo haya kwa awamu, utaratibu wake ni unatuma kiasi chako kwenda namba 0684 047323 au 0767 603699 na ukipokea namba ya muamala wako unatuma pamoja na jina lako na email yako baada ya hapo utapokea uthibitisho wako wa kujiunga kwako ndani ya muda mfupi na hapo utakuwa umeshajiunga.

Nimepokea mawazo ya kuwa natoa na majarida ya mada zangu nimelipata hilo nipo nalifanyia kazi pia na kama unahitaji uwe unapokea majarida hayo naomba nitumie ujumbe mfupi wa meseji au nipigie ili niandikishe majina ya watakaopokea majarida hayo na njia ya majarida kuwafikia asante

Karibuni Sana
Elisha Chuma

Comments

Popular posts from this blog

Baadhi ya vitu vinavyosababisha biashara nyingi kufungwa.

Umuhimu na maana ya Logo( Nembo) katika biashara yako.

Aina za malengo na mipango